Waziri mkuu wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mh. Kassim Majaliwa amezindua rasmi mashindano yanayohusisha michezo mashuleni kwa shule za msingi na Sekondari mkoani Tabora yafahamikayo kama UMITASHUMTA na UMISSETA. Akaongezea kwa kusema ” ujio wa wachezaji wageni kutoka nchi zingine kama malawi na kushiriki katika Ligi kuu chini Tanzania kunaonesha kukua kwa soka letu nchini”.
Tetesi za soka Ulaya Alhamisi 18.08.2022
Manchester United wako tayari kulipa pauni milioni 67 kwa kiungo wa kati wa Real Madrid Casemiro, 30 na mara mbili...
Read more