Mwanasoka mahiri aliyekuwa anakipiga nafasi ya ushambuliaji katika klabu ya Simba SC Meddie Kagere rasmi atambulishwa kuwa mchezaji wa klabu ya Singida Big Stars FC ambayo kabla ya hapo ilifahamika kama DTB FC kutokea mkoani Singida.
Yanga yaagana na Afisa Habari wao, Hassan Bumbuli
Klabu ya Yanga imeujuza umma leo mapema Agosti 12, 2022 kuhusu kuagana na aliyekuwa Afisa habari na Mawasiliano katika klabu...
Read more