Baada ya Mwanasiasa wa Marekani Bi Nancy Pelosi kufanya ziara fupi lakini yenye utata nchini Taiwan, ambayo China inachukulia kama jimbo lililojitenga. Siku ya jana ameondoka katika eneo la Taiwan lakini China imeamua kutuma ndege zake za kivita kujihakikishia usalama wa jimbo hilo wanalolichukulia kuwa eneo lao pia.
TRUMP AJIBU MASHTAKA
RAIS wa awamu ya 45th wa Marekani Donald Trump amewashutumu wapinzani wake wa kisiasa kwa kutumia mfumo wa haki wa...
Read more