Mkurugenzi mtendaji wa Hospitali ya Rufaa Dkt. Godlove Mbwanji jana mapema aliujuza umma kuhusu ujio wa Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mh. Samia Hassan Mkoani Mbeya kuweka jiwe la msingi ujenzi wa jengo jipya la Mama na Mtoto hospitali ya rufaa Kanda ya Mbeya siku ya Agosti 5, 2022. Leo hii Mapema Rais Samia amewasili tayari mkoani humo ili kukamilisha zoezi hilo muhimu akiaanza kwa kuzuru baadhi ya maeneo kusikiliza maoni ya wananchi kupitia Viongozi na Wabunge wao kisha kuelekea eneo husika Kukamilisha uzinduzi.
BUNGE LAMUONDOSHA RAIS MADARAKANI
Bunge la nchini Peru limetoa maamuzi ya kumuondoa madarakani Rais wa taifa hilo Pedro Castillo na nafasi yake kuzibwa na...
Read more