Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa, Mhe. Innocent Bashungwa akisalimiana na kuzungumza na Wakurugenzi Halmashauri za Mkoa wa Jombe wakiwa na Mkuu wa Wilaya ya Njombe, Kissa Kasongwa wakati wakisubili Mheshimiwa Rais Samia Suluhu Hassan kutembelea (jengo la mama na Mtoto) na kupokea taarifa ya mradi wa ujenzi wa Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Njombe (Thamani yake shilingi bilioni 27.939).
BUNGE LAMUONDOSHA RAIS MADARAKANI
Bunge la nchini Peru limetoa maamuzi ya kumuondoa madarakani Rais wa taifa hilo Pedro Castillo na nafasi yake kuzibwa na...
Read more