Benki ya Taifa ya Biashara NBC ikiwa katika muundelezo wa kuchezesha droo ya ushindi kwa washiriki wanaowania nafasi ya kwenda kushuhudia michuano ya fainali za Kombe la Dunia huko Qatar kwa sasa wa mkoani Morogoro kuwaunganisha wadau na huduma za benki hio ili waweze pata nafasi ya kushiriki vyema katika droo hio.