
Baada ya mkutano mkuu wa CAF kuisha Magwiji na viongozi wa Soka wafanya mchuano kidogo kujipima uwezo katika soka Matukio mbalimbali kwenye mchezo maalumu kati ya Magwiji wa zamani wa soka na viongozi mbalimbali wa mpira wa miguu uliochezwa uwanja wa Shule ya St.Costantine, Arusha.
@caf_online @azamsports2 @fifaworldcup @caf_online @mirambo81 @wallacekaria


