Waziri Mkuu wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mh. Kassim Majaliwa jana alitembelea tawi la Benki ya NBC la Bunge jijini Dodoma na kupata huduma. Hii ni kuonesha anaunga mkono huduma zitolewazo na tasisi mbalimbali za kifedhaa nchini.


Mume alikuwa anakula Tunda mara moja kwa wiki ila sasa ni kila siku jamani! Jina langu ni Anna, tulifunga ndoa...
Read more