Shirika la Madini la Taifa, STAMICO laadhimisha miaka 50 tangu lianzishwe hapa nchini, kupitia maadhimisho hayo masuala mbalimbali yamegusiwa katika kuboresha hali ya kiutendaji katika sekta ya madini kiujumla. Makamu wa Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mh. Philip Mpango ndie mgeni rasmi katika tukio hilo lililofanyika hivi leo Agosti 1 2, 2022.
Mke asimulia kwa uchungu Karaha alizopata kwenye Ndoa yake..SOMA KISA KIZIMA HAPA
Mume alikuwa anakula Tunda mara moja kwa wiki ila sasa ni kila siku jamani! Jina langu ni Anna, tulifunga ndoa...
Read more