Ikiwa ni muda sana kutowaona mapacha Peter Okoye na Paul Okoye walijiwekea makazi yao huko nchini Marekani katika muunganiko wa kundi lao la muziki lifahamikalo kama P-Square yaani likihusisha wasanii hao wawili kutokea nchini Nigeria Peter Okoye na Paul Okoye. Hivi karibuni wameoneekana kuwa sawa na kushirikiana katika kazi zao kwa kurejesha kundi lao tena kupitia Reunion Worlwide Tour ambayo inawakumbusha mashabiki wao mengi kuhusu wao katika fani ya muziki walipokuwa wanashirikiana pamoja hapo awali. Wanateembea nchi mbalimbali kurejeesha nafasi nzuri ya kupewa nguvu na mashabiki waliwakumbuka kwa muda mrefu walipokuwa wanaimba kwa pamoja.
POLISI WAPEKUWA NYUMBA KUFANYA UCHUNGUZI KIFO CHA TUPAC
Polisi katika jimbo la Nevada nchini Marekani wamepekua nyumba karibu na Las Vegas kuhusiana na mauaji ya rapa Tupac Shakur...
Read more