
Kupitia ushindani wa kuwania tunzo za utoaji huduma kiujumla katika kampuni ya Total Energies ifahamikayo kama TotalEnergies Best Station Challenge Award
:

Washindi 8 walitunukiwa tunzo katika sherehe ya Best Station Challenge Award, kutana na wanafanyabiashara na washirika wetu (Dealers) ambao walitunukiwa tunzo za kategoria mbalimbali za shindano la shindano la kituo bora cha TotalEnergies 2021.

Maji ya Chai Service Station – Erica Ndesamburo


Mchigani Service Station – Frank Malle


Bunda Service Station – Gregory Ilole


Uhuru Service Station – Latifa Simbano


Africana Service Station – Adan Abdi



