Kupitia kuarasa za mitandao ya kijamii, Rais Samia Suluhu Hassan wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania amempongeza William Ruto kwa kushinda nafasi ya Rais katika uchaguzi mkuu Kenya kwa matokeo yaliyotangazwa jana usiku kupitia Tume huru ya Uchaguzi IEDC nnchini humo.
BUNGE LAMUONDOSHA RAIS MADARAKANI
Bunge la nchini Peru limetoa maamuzi ya kumuondoa madarakani Rais wa taifa hilo Pedro Castillo na nafasi yake kuzibwa na...
Read more