Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari Tanzania Mh. Nape Moses Nnauye amesema “Leo Juu Mlima Kilimanjaro: Ninapandisha MAWASILIANO YA MTANDAO (BROADBAND) ya kasi ya juu kwenye ROOF OF AFRICA. Watalii sasa wanaweza kuwasiliana duniani kote kutoka kilele cha Mlima Kilimanjaro. TUNAKWENDA UHURU PEAK Mita 5880 Juu ya Kiwango cha Bahari!”
#royaltourcompliment #royaltour