Afisa Habari na Mawasiliano TFF, Bw. Cliford Mario Ndimbo ameujuza umma kuwa Kamati ya Leseni ya Klabu za Shirikisho la Mpira wa Miguu nchini Tanzania imeanza rasmi zoezi zima la ukaguzi katika mpango kazi wa timu za vijana, Hati ya Umiliki wa Uwanja au mkataba wa upangaji, sekretarieti ya klabu, mikataba ya wafanyakazi/ benchi la ufundi, katiba pamoja na cheti cha usajili (halisi na nakala) na hesabu za fedha zilizokaguliwa za 2021.
NMB yafadhili ziara ya mafunzo Machinga, Bodaboda Dar nchini Rwanda
NA MWANDISHI WETU BENKI ya NMB imefadhili ziara ya siku nne ya mafunzo kwa Viongozi wa Vyama na Mashirikisho ya...
Read more