Klabu ya Simba SC yaanza rejesha matumaini kwa mashabiki wao kwa kuanza mchezo wa kwanza katika michuano ya kuwania ubingwa wa kombe la Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara na kupata matokeo mazuri kwa kuifunga klabu ya Geita Gold FC 3-0 katika mchezo uliochezwa jana usiku Agosti 17,2022 katika dimba la Benjamini Mkapa.
MERIDIAN BET YAGUSA MAMA NTILIE
WAUZAJI wa vyakula maeneo ya Manzese na Kariakoo jijini Dar es Salaam leo wamepewatiwa msaada wa Aprons , ili ziweze kuwwasaidia...
Read more