Casemiro anaripotiwa kusaini mkataba wa miaka minne katika klabu ya Man United akitokea klabu ya Real Madrid FC, ambao utaendelea hadi Juni 2026. United pia watakuwa na chaguo la mwaka wa tano, kuongeza hadi 2027 kama klabu hio itapenda. Mshahara wake utakuwa takribani £350,000 kwa wiki, wanadai The Athletic. Hii itamsukuma Casemiro karibu na mshahara wa David de Gea, lakini kwa kiasi kikubwa chini ya Cristiano Ronaldo. Zote hizi mbili zinaisha mwaka 2023, ingawa Man United ina chaguo lao, zote mbili kurefusha kwa mwaka mmoja zaidi.
Simba SC Yamtangaza CEO Mpya
Uongozi wa Klabu ya Simba leo majira ya mchana Januari 26,2023 umemtangaza rasmi Imani Kajula kuwa mwajiliwa katika klabu hio...
Read more