Golikipa nambari moja Tanzania anayedakia klabu ya Simba SC Aishi Manura (Air Manura) ameanza vizuri msimu wake mpya ndani Ligi kuu ya NBC Tanzania Bara bila ya Kuruhusu goli katika mchezo wa kwanza dhidi ya klabu ya Geita Gold FC iliyofungwa goli 3, Agosti 17, 20022 licha ya kuwa alikaa majeruhi kwa muda fulani bila ya kurejea dimbani kwa sababu ya majeraha aliyoyapata katika mechi ya michuano ya kuwania kushiriki fainali za kombe la CHAN Barani Afrika.
NMB yafadhili ziara ya mafunzo Machinga, Bodaboda Dar nchini Rwanda
NA MWANDISHI WETU BENKI ya NMB imefadhili ziara ya siku nne ya mafunzo kwa Viongozi wa Vyama na Mashirikisho ya...
Read more