• Home
  • HABARI
  • BIASHARA
  • Lifestyle
  • BURUDANI
  • MICHEZO
Thursday, September 21, 2023
  • Login
BONGOSWAGGZ
Advertisement
ADVERTISEMENT
  • Home
  • HABARI
    • All
    • Business
    • Politics
    • Science
    • World
    Wateja wa Precision Air kukata tiketi kupitia M-Pesa Super App.

    Wateja wa Precision Air kukata tiketi kupitia M-Pesa Super App.

    NMB yabainisha mikakati ya kuwakwamua wakulima wadogo

    NMB yabainisha mikakati ya kuwakwamua wakulima wadogo

    Rais Samia aweka Jiwe la Msingi la Skuli ya Mil. 600/- inayojengwa na NMB

    Rais Samia aweka Jiwe la Msingi la Skuli ya Mil. 600/- inayojengwa na NMB

    NMB yadhamini CDF Trophy 2023 kwa Mil. 30/-

    NMB yadhamini CDF Trophy 2023 kwa Mil. 30/-

    Rais Samia aipa cheti NMB cha mlipa gawio mkubwa

    Rais Samia aipa cheti NMB cha mlipa gawio mkubwa

    USAID and Jane Goodall Institute Tanzania Join Forces with $29.5 Million Agreement to Empower Gombe Communities

    USAID and Jane Goodall Institute Tanzania Join Forces with $29.5 Million Agreement to Empower Gombe Communities

    Trending Tags

    • Trump Inauguration
    • United Stated
    • White House
    • Market Stories
    • Election Results
  • BIASHARA

    The Legend of Zelda: Breath of the Wild gameplay on the Nintendo Switch

    Shadow Tactics: Blades of the Shogun Review

    macOS Sierra review: Mac users get a modest update this year

    Hands on: Samsung Galaxy A5 2017 review

    The Last Guardian Playstation 4 Game review

    Intel Core i7-7700K ‘Kaby Lake’ review

  • Lifestyle
    • All
    • Food
    • Health
    • Travel

    Shooting More than 40 Years of New York’s Halloween Parade

    Why Millennials Need to Save Twice as Much as Boomers Did

    Doctors take inspiration from online dating to build organ transplant AI

    How couples can solve lighting disagreements for good

    Ducati launch: Lorenzo and Dovizioso’s Desmosedici

    23 Celebrity Tweets You Missed From The Golden Globes

    Trending Tags

    • Golden Globes
    • Game of Thrones
    • MotoGP 2017
    • eSports
    • Fashion Week
  • BURUDANI
    • All
    • Apps
    • Gadget
    • Mobile
    • Startup

    These Are the 5 Big Tech Stories to Watch in 2017

    Trending Tags

    • Nintendo Switch
    • CES 2017
    • Playstation 4 Pro
    • Mark Zuckerberg
  • MICHEZO
    • All
    • Gaming
    • Movie

    macOS Sierra review: Mac users get a modest update this year

    Hands on: Samsung Galaxy A5 2017 review

    Heroes of the Storm Global Championship 2017 starts tomorrow, here’s what you need to know

    Harnessing the power of VR with Power Rangers and Snapdragon 835

    Dota 2 and CS:GO top Steam’s 2016 list for most played games

    President Obama Holds his Final Press Conference

No Result
View All Result

Bongoswaggz
No Result
View All Result

BENKI YA MWANGA HAKIKA YAWEKA HITORIA, YAWA BENKI YA BIASHARA.

admin by admin
August 21, 2022
in BUSINESS NEWS, NEWS, Uncategorized
Reading Time: 3 mins read
A A
0
BENKI YA MWANGA HAKIKA YAWEKA HITORIA, YAWA BENKI YA BIASHARA.

????????????????????????????????????

0
SHARES
8
VIEWS
Share on FacebookShare on Twitter
Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Benki ya Mwanga Hakika, Mhandisi Ridhiwani Mringo akitambulisha baadhi ya wajumbe wa Bodi ya wakurungezi wa Benki kwa Mgeni Rasmi, Spika wa Bunge Mh. Dk Tulia Ackson alipowasili wakati wa Uzinduzi wa Benki ya Mwanga Hakika kuwa Benki ya Biashara.Hafla hii ilifanyika Ijumaa Tarehe 19 Agost 2022, Makao makuu ya Benki Kijitonyama,Jijini Dar es salaam.
 Mkurugenzi Mtendaji wa benki ya Mwanga Hakika,Bwana, Jagjit Singh,akitoa hotuba kwa wageni waalikwa wakati wa Uzinduzi wa Benki ya Mwanga Hakika kuwa Benki ya Biashara.Hafla hii ilifanyika Ijumaa Tarehe 19 Agost 2022, Makao makuu ya Benki Kijitonyama,Jijini Dar es salaam.
Mkuu wa wilaya ya Kinondoni Mh ; Godwin Gondwe akitoa hotuba kwa wageni waalikwa wakati wa Uzinduzi wa Benki ya Mwanga Hakika kuwa Benki ya Biashara.Hafla hii ilifanyika Ijumaa Tarehe 19 Agost 2022, Makao makuu ya Benki Kijitonyama,Jijini Dar es salaam.
Mgeni Rasmi Spika wa Bunge la Jamhuri wa Tanzania Mh, Det, Tulia Ackson akitoa hotuba kwa wageni waalikwa wakati wa Uzinduzi wa Benki ya Mwanga Hakika kuwa Benki ya Biashara.Hafla hii ilifanyika Ijumaa Tarehe 19 Agost 2022, Makao makuu ya Benki Kijitonyama,Jijini Dar es salaam.
Mgeni Rasmi Spika wa Bunge la Jamhuri wa Tanzania Mh, Det, Tulia Ackson akizindua rasmi Muonekano mpya wa Bneki ya Mwanga wa wa Uzinduzi wa Benki ya Mwanga Hakika kuwa Benki ya Biashara.Hafla hii ilifanyika Ijumaa Tarehe 19 Agost 2022, Makao makuu ya Benki Kijitonyama,Jijini Dar es salaam.
Mgeni Rasmi Spika wa Bunge la Jamhuri wa Tanzania Mh, Det, Tulia Ackson akiwa Katika picha ya Pamoja na wajumbe wa bodi wakati wa Uzinduzi wa Benki ya Mwanga Hakika kuwa Benki ya Biashara.Hafla hii ilifanyika Ijumaa Tarehe 19 Agost 2022, Makao makuu ya Benki Kijitonyama,Jijini Dar es salaam.
Mgeni Rasmi Spika wa Bunge la Jamhuri wa Tanzania Mh, Det, Tulia Ackson akiwa Katika picha ya Pamoja na baadhi ya wanahisa mara baada ya Uzinduzi wa Benki ya Mwanga Hakika kuwa Benki ya Biashara.Hafla hii ilifanyika Ijumaa Tarehe 19 Agost 2022, Makao makuu ya Benki Kijitonyama,Jijini Dar es salaam.

Dare es Salaam- Kijitonyama. Benki ya Mwanga Hakika  yawa benki ya biashara. Ambapo awali benki hii ilikuwa benki ya mitaji midogo na ukuaji huu utawapa wateja wao fursa ya kupata huduma nyingi zaidi ya zile walizokuwa wakipata awali.

Mapinduzi ya tehama yamewezesha benki Mwanga Hakika kuwa benki ya biashara na yenye ushindani kwenye soko, sambamba na hilo wingi wa wateja na ongezeko la mtaji ni baadhi ya sababu zilizofanya benki hii kupanua wigo wake na kuwa benki ya biashara kwa lengo la kuwahakikishia wateja wao usalama,urahisi na ukaribu wa huduma.

Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Benki ya Mwanga Hakika, Mhandisi Ridhiwani Mringo amesema kuwa, lengo kuu ni kupanua wigo wa kibiashara ili kufikia malengo ya kuwa benki kubwa ndani na nje ya Tanzania.Pamoja na hayo benki ina lengo la kuimarisha ukaribu na wateja wake na kuhakikisha wanapata huduma bora na nafuu.

Alisema kuwa, benki ya Mwanga Hakika inaonekana changa lakini ina historia ya zaidi ya miaka ishirini (20) katika utoaji wa huduma za kifedha kwa wateja wake kupitia benki shiriki ya Mwanga Community Bank iliyokuwa ikijulikana kama “Benki ya Wananchi Mwanga”,ambayo ilianzishwa mwaka 2000..  Pia alisema kuwa Benki ya Mwanga Hakika imekuwa kwa kiasi kikubwa sana na tukio hili ni la kihistoria ambapo miaka miwili nyuma (tarehe 15 Agosti, 2020) benki tatu ziliungana ambazo ni (EFC Tanzania Microfinance Bank, Hakika Microfinance Bank na Mwanga Community Bank) zilipounganishwa na kuunda benki mpya iliyojulikana kama, Mwanga Hakika Microfinance Bank Limited (MHB).Na Agosti mwaka huu, imefanikiwa kuwa benki ya kamili ya  kibiashara.

Pia alisema kuwa,muungano huo haukuwa wa kihistoria tu bali ulikuwa na changamoto, kwani kulikuwa na >benki tatu tofauti, >miundo mitatu tofauti ya uongozi, >mifumo mitatu tofauti ya uendeshaji, >tamaduni tatu tofauti wa kufanya kazi, na makundi matatu tofauti ya Wanahisa,lakini bado tulipata msingi wa pamoja wa kuungana na kuunda benki moja kwa maslahi ya wadau wake wote.

Kwa upande wake, Mkurugenzi Mtendaji wa benki ya Mwanga Hakika,Bwana, Jagjit Singh, alisema kuwa  “Ukubwa wa sasa wa Mizania ya benki ya Mwanga Hakika (Total Assets) ni Bilioni 111, -Mikopo ya thamani ya   Tsh. Bilioni 72, Amana za Wateja (Customer Deposits), ni Tsh. Bilioni 71, Uwiano wa Mikopo isiyolipika (Non-Performing Loans Ratio) ni 5.49% tu, Idadi ya Wafanyakazi ni 106, na Idadi ya Matawi ni 7 ambayo ni(Kijitonyama-Dar-es-Salaam, Tegeta-Dar-es-Salaam, Dodoma, Arusha, Moshi, Mwanga na Same).

Aliongeza kuwa, benki ya Mwanga Hakika imekuwa benki ya biashara sasa ambapo wateja wake wategemee huduma nyingi zaidi ya zile zilizokuwa zikitolewa awali.Sambamba na hayo, benki hiyo inategemea kutanua utoaji wa huduma zao kwenye baadhi ya sekta kama vile, sekta ya kilimo, biashara, na madini. Ambapo pia itaimarisha uhusiano wao uliopo na Wakandarasi wengi hapa nchini kwa lengo la kukuza uchumi wa nchi”.

????????????????????????????????????

????????????????????????????????????

MWISHO.

Tags: MWANGA HAKIKA
ADVERTISEMENT
Previous Post

Prof. Mark Mwandosya Ateuliwa kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Ewura

Next Post

NMB YAZIDI KUBORESHA MNYORORO WA THAMANI KATIKA SEKTA YA UTALII

admin

admin

RelatedPosts

Asimulia namna alivyomtuliza mke wake aliyekuwa anatoka nje ya Ndoa
Uncategorized

Asimulia namna alivyomtuliza mke wake aliyekuwa anatoka nje ya Ndoa

by JERRY JUNGA
September 21, 2023
0

Nilikuwa kwenye ndoa na dada moja ambaye alikuwa ni mke wangu, miezi kadhaa baada ya kufunga naye ndoa hali ilikuwa...

Read more
NMB yashinda tena tuzo ya kuongoza kuwafadhili wajasiriamali – Afrika

NMB yashinda tena tuzo ya kuongoza kuwafadhili wajasiriamali – Afrika

September 19, 2023
Dirisha la Ufadhili wa Masomo NMB Nuru Yangu 2023/24 lafunguliwa

Dirisha la Ufadhili wa Masomo NMB Nuru Yangu 2023/24 lafunguliwa

September 15, 2023
KISA ;Mke aliyenikimbia kisa sina fedha arejea mwenyewe na kuomba msamaha!

KISA ;Mke aliyenikimbia kisa sina fedha arejea mwenyewe na kuomba msamaha!

September 15, 2023
NMB yawa benki ya tatu kwa faida Afrika Mashariki

NMB yawa benki ya tatu kwa faida Afrika Mashariki

September 11, 2023
Nimeteseka sana na mpenzi ila nimepata tulizo la moyo!

Nimeteseka sana na mpenzi ila nimepata tulizo la moyo!

September 8, 2023
Load More
Next Post
NMB YAZIDI KUBORESHA MNYORORO WA THAMANI KATIKA SEKTA YA UTALII

NMB YAZIDI KUBORESHA MNYORORO WA THAMANI KATIKA SEKTA YA UTALII

Leave a Reply Cancel reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

KRANTZ MWANTEPELE (FOUNDER & CEO)

Stay Connected test

  • Trending
  • Comments
  • Latest
Benki Ya NMB Yaendelea Kuwa Kinara Wa Ufanisi Nchini Tanzania

Benki Ya NMB Yaendelea Kuwa Kinara Wa Ufanisi Nchini Tanzania

July 29, 2022
WAZIRI MCHENGERWA AZINDUA BOTI YA KITALII YA TAWA SEA CRUSIER

WAZIRI MCHENGERWA AZINDUA BOTI YA KITALII YA TAWA SEA CRUSIER

March 16, 2023
Dirisha la Ufadhili wa Masomo NMB Nuru Yangu 2023/24 lafunguliwa

Dirisha la Ufadhili wa Masomo NMB Nuru Yangu 2023/24 lafunguliwa

September 15, 2023
NAFASI ZA KAZI BENKI YA NBC

NAFASI ZA KAZI BENKI YA NBC

April 25, 2023
Asimulia namna alivyomtuliza mke wake aliyekuwa anatoka nje ya Ndoa

Asimulia namna alivyomtuliza mke wake aliyekuwa anatoka nje ya Ndoa

September 21, 2023
NMB yashinda tena tuzo ya kuongoza kuwafadhili wajasiriamali – Afrika

NMB yashinda tena tuzo ya kuongoza kuwafadhili wajasiriamali – Afrika

September 19, 2023
Dirisha la Ufadhili wa Masomo NMB Nuru Yangu 2023/24 lafunguliwa

Dirisha la Ufadhili wa Masomo NMB Nuru Yangu 2023/24 lafunguliwa

September 15, 2023
KISA ;Mke aliyenikimbia kisa sina fedha arejea mwenyewe na kuomba msamaha!

KISA ;Mke aliyenikimbia kisa sina fedha arejea mwenyewe na kuomba msamaha!

September 15, 2023
Facebook Twitter Youtube RSS

© 2023 JNews - Premium WordPress news & magazine theme by Jegtheme.

No Result
View All Result
  • Home
  • HABARI
  • BIASHARA
  • Lifestyle
  • BURUDANI
  • MICHEZO

© 2023 JNews - Premium WordPress news & magazine theme by Jegtheme.

Welcome Back!

Login to your account below

Forgotten Password?

Retrieve your password

Please enter your username or email address to reset your password.

Log In