Kamisaa wa Sensa ya Watu na Makazi 2022, Anne Makinda amesema zoezi la Sensa ambalo limeanza jana Jumanne August 23,2022, halijaishia jana tu bali litaendelea kwa siku saba kuanzia jana na hivyo amewataka Wananchi kuendelea kuwapa ushirikiano Makarani.
Wateja wa Precision Air kukata tiketi kupitia M-Pesa Super App.
Vodacom M-Pesa na Precision Air waemingia ushirikiano ambao utawawezesha wateja kukata tiketi ya ndege kupitia applikesheni ya M-Pesa Super...
Read more