ADVERTISEMENT
  • Home
  • HABARI
  • BIASHARA
  • Lifestyle
  • BURUDANI
  • MICHEZO
Tuesday, February 7, 2023
  • Login
BONGOSWAGGZ
ADVERTISEMENT
  • Home
  • HABARI
    • All
    • Business
    • Politics
    • Science
    • World
    TANZANIA, UAE ZASAINI KUHIFADHI MAZINGIRA

    Yaliojili Kwenye Kurasa za Magazeti ya Leo Jumatatu Februari 6,2023

    Yaliojili Kwenye Kurasa za Magazeti ya Leo Jumanne Februari 7,2023

    TIGO KWENDA KUMKABIDHI GARI MSHINDI WA NDINGA LA KISHUA

    MASHAMBA YA BANGI ZAIDI YA HEKTA 6 YATEKETEZWA KWA MOTO, GEITA

    MBUNGE ATAKA KAMPUNI ZA MAWASILIANO ZIFIDIE WATEJA

    Idadi ya Waliofariki katika Tetemeko kubwa la Ardhi Uturuki yafikia Zaidi ya Watu 300

    Trending Tags

    • Trump Inauguration
    • United Stated
    • White House
    • Market Stories
    • Election Results
  • BIASHARA

    The Legend of Zelda: Breath of the Wild gameplay on the Nintendo Switch

    Shadow Tactics: Blades of the Shogun Review

    macOS Sierra review: Mac users get a modest update this year

    Hands on: Samsung Galaxy A5 2017 review

    The Last Guardian Playstation 4 Game review

    Intel Core i7-7700K ‘Kaby Lake’ review

  • Lifestyle
    • All
    • Food
    • Health
    • Travel

    Shooting More than 40 Years of New York’s Halloween Parade

    Why Millennials Need to Save Twice as Much as Boomers Did

    Doctors take inspiration from online dating to build organ transplant AI

    How couples can solve lighting disagreements for good

    Ducati launch: Lorenzo and Dovizioso’s Desmosedici

    23 Celebrity Tweets You Missed From The Golden Globes

    Trending Tags

    • Golden Globes
    • Game of Thrones
    • MotoGP 2017
    • eSports
    • Fashion Week
  • BURUDANI
    • All
    • Apps
    • Gadget
    • Mobile
    • Startup

    These Are the 5 Big Tech Stories to Watch in 2017

    Trending Tags

    • Nintendo Switch
    • CES 2017
    • Playstation 4 Pro
    • Mark Zuckerberg
  • MICHEZO
    • All
    • Gaming
    • Movie

    Heroes of the Storm Global Championship 2017 starts tomorrow, here’s what you need to know

    Harnessing the power of VR with Power Rangers and Snapdragon 835

    Dota 2 and CS:GO top Steam’s 2016 list for most played games

    President Obama Holds his Final Press Conference

No Result
View All Result

Bongoswaggz
No Result
View All Result
ADVERTISEMENT

NMB yazindua ATM ya kubadili fedha za kigeni uwanja wa KIA

admin by admin
August 30, 2022
in NEWS, Uncategorized
Reading Time: 2 mins read
A A
0
NMB yazindua ATM ya kubadili fedha za kigeni uwanja wa KIA
0
SHARES
2
VIEWS
Share on FacebookShare on Twitter
ADVERTISEMENT

Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro, Nurdin Hassan Babu akionyesha fedha za kitanzania baada ya kubadili fedha za kigeni kwenye FX ATM ya NMB iliyozinduliwa rasmi katika Uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Kilimanjaro (KIA). Kushoto ni Afisa Mtendaji Mkuu wa Benki ya NMB, Ruth Zaipuna(kushoto) na Mkurugenzi wa Uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Kilimanjaro – Christine Mwakatobe.

Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro, Nurdin Hassan Babu akikata utepe kuashiria kuizindua rasmi mashine ya kubadilishia fedha za kigeni kwenda Shilingi za Kitanzania (FX ATM) ya NMB katika Uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Kilimanjaro (KIA). Kushoto ni Afisa Mtendaji Mkuu wa Benki ya NMB, Ruth Zaipuna, Mkurugenzi wa Uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Kilimanjaro – Christine Mwakatobe na Mkuu wa Wilaya ya Hai, Ndg. Juma Irango wakishuhudia.

Benki ya NMB leo imezindua rasmi mashine ya kubadilisha fedha (Forex – ATM) katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Kilimanjaro (KIA) yenye uwezo wa kubadili fedha za kigeni kwenda shilingi za Kitanzania. Hii ni hatua nyingine muhimu kwa Benki ya NMB ya utoaji huduma kwa Watanzania wanaosafiri kutoka nje, watalii na wageni wanaokuja nchini Tanzania.
Akizungumza katika hafla ya uzinduzi uwanjani hapo, Afisa Mtendaji Mkuu wa NMB, Bi. Ruth Zaipuna alisema, wateja na hata wasio wateja wa NMB sasa wanaweza kubadilisha fedha hadi kiasi cha Dola za Kimarekani 2,000 kwa wakati mmoja kwa viwango vya kubadilishia fedha vya Benki ya NMB kwa kujihudumia wenyewe kwa kutumia mashine hii ya ATM katika uwanja huo. Aliongeza kuwa, mashine hii pia inauwezo wa kubadilisha Euro za Umoja wa Ulaya na Pauni ya Uingereza kwenda shilingi ya Tanzania.

Uzinduzi huu ni muendelezo wa huduma hizo zilizozinduliwa kwa mara ya kwanza na NMB Jijini Dar es Salaam kwenye uwanja wa ndege wa kimataifa wa Julius Nyerere na Benki hiyo inatarajia kupeleka huduma hizo maeneo mengine ikiwemo uwanja wa ndege wa Kimataifa Abeid Amani Karume (AAKIA) Zanzibar na Zanzibar Stone Town.
Bi. Ruth alisizitiza kuwa, sasa watakao hitaji kubadili fedha uwanjani hapo, watajihudumia wenyewe wakati wote masaa 24/7 na wameanza na aina hizo tatu za sarafu, lakini muda sio mrefu wataongeza na fedha za mataifa mengine.
Mgeni rasmi katika hafla ya uzinduzi huo, Mkuu wa Mkoa wa Kiliamanjaro Mhe. Nurdin Hassan Babu aliipongeza Benki ya NMB kwa kuanzisha huduma hiyo muhimu kwani imesubiriwa kwa muda mrefu mkoani hapo, ikizingatiwa kuwa mkoa huo umekuwa ukipokea wageni wengi wa kigeni ambao ndio wenye uhitaji mkubwa wa kubadili fedha.
Kwa upande wake Mkurugenzi Mkuu wa Uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Kilimanjaro (KIA) Bi. Christina Makatobe, alisema huduma hiyo ni muhimu kwa taasisi hiyo haswa ikitiliwa maanani KIA ni lango la kuingilia wasafiri kwa wingi, wengi wao wakiwa ni watalii na sasa hata wanaoingia uwanjani hapo nyakati za usiku watabadilisha fedha kwa kujihudumia wenyewe – hii itakuwa kivutio cha watalii wengi nchini kutokana na ukweli huduma bora haswa za kifedha ni moja ya vigezo ambavyo watalii hufuatilia kabla ya kutembelea nchi husika.
Bi.Christina aliiahidi kuendelea kushirikiana na NMB kuhakikisha wanaungana katika kuweka mazingira mazuri ya kuboresha sekta ya utalii nchini hasaa kupitia watumiaji wa uwanja wa KIA

ADVERTISEMENT
Previous Post

TFF Yatangaza Kusalia kwa Siku 1 tu Dirisha la Usajili mpya Kufungwa

Next Post

TETESI ZA SOKA ULAYA JUMATANO 31 AGOSTI,2022

admin

admin

RelatedPosts

TANZANIA, UAE ZASAINI KUHIFADHI MAZINGIRA

TANZANIA, UAE ZASAINI KUHIFADHI MAZINGIRA

by ALFRED MTEWELE
February 7, 2023
0

 Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe, Dkt. Selemani Jafo amesema biashara ya kaboni itasaidia...

Read more
Yaliojili Kwenye Kurasa za Magazeti ya Leo Jumatatu Februari 6,2023

Yaliojili Kwenye Kurasa za Magazeti ya Leo Jumanne Februari 7,2023

February 7, 2023
TIGO KWENDA KUMKABIDHI GARI MSHINDI WA NDINGA LA KISHUA

TIGO KWENDA KUMKABIDHI GARI MSHINDI WA NDINGA LA KISHUA

February 6, 2023
MASHAMBA YA BANGI ZAIDI YA HEKTA 6 YATEKETEZWA KWA MOTO, GEITA

MASHAMBA YA BANGI ZAIDI YA HEKTA 6 YATEKETEZWA KWA MOTO, GEITA

February 6, 2023
MBUNGE ATAKA KAMPUNI ZA MAWASILIANO ZIFIDIE WATEJA

MBUNGE ATAKA KAMPUNI ZA MAWASILIANO ZIFIDIE WATEJA

February 6, 2023
Idadi ya Waliofariki katika Tetemeko kubwa la Ardhi Uturuki yafikia Zaidi ya Watu 300

Idadi ya Waliofariki katika Tetemeko kubwa la Ardhi Uturuki yafikia Zaidi ya Watu 300

February 6, 2023
Load More
Next Post
TETESI ZA SOKA ULAYA JUMATANO 31 AGOSTI,2022

TETESI ZA SOKA ULAYA JUMATANO 31 AGOSTI,2022

Leave a Reply Cancel reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

KRANTZ MWANTEPELE (FOUNDER & CEO)

Stay Connected test

ADVERTISEMENT
  • Trending
  • Comments
  • Latest
Yaliojili Kwenye Kurasa za Magazeti ya Leo Jumatatu Februari 6,2023

Yaliojili Kwenye Kurasa za Magazeti ya Leo Jumatatu Februari 6,2023

February 6, 2023
Simba SC yaibuka Kinara Mechi ya Kwanza Dhidi ya Geita Gold FC Ligi Kuu ya NBC 2022/2023

August 18, 2022
SPORTPESA YANG’AKA YANGA KUKIUKA MAKUBALIANO, KISA MDHAMINI MPYA CAF

February 1, 2023
Bilioni 213 za Miradi ya DMDP Zaistawisha Temeke

February 2, 2023
HAJI MANARA AIJIA JUU BODI YA LIGI KISA CLEAN SHEETS, SIMBA SC

HAJI MANARA AIJIA JUU BODI YA LIGI KISA CLEAN SHEETS, SIMBA SC

February 7, 2023
DAYOO AFUNGUKA KWANINI ANASEMA “NAITWA MANGI…”

DAYOO AFUNGUKA KWANINI ANASEMA “NAITWA MANGI…”

February 7, 2023
TANZANIA, UAE ZASAINI KUHIFADHI MAZINGIRA

TANZANIA, UAE ZASAINI KUHIFADHI MAZINGIRA

February 7, 2023
Yaliojili Kwenye Kurasa za Magazeti ya Leo Jumatatu Februari 6,2023

Yaliojili Kwenye Kurasa za Magazeti ya Leo Jumanne Februari 7,2023

February 7, 2023
ADVERTISEMENT
Facebook Twitter Google+ Youtube RSS

© 2023 JNews - Premium WordPress news & magazine theme by Jegtheme.

No Result
View All Result
  • Home
  • HABARI
  • BIASHARA
  • Lifestyle
  • BURUDANI
  • MICHEZO

© 2023 JNews - Premium WordPress news & magazine theme by Jegtheme.

Welcome Back!

Login to your account below

Forgotten Password?

Retrieve your password

Please enter your username or email address to reset your password.

Log In