Umewahi kuwa unangalia movie, kucheza games au kuperuzi mtandaoni na ghafla simu ikakutaarifu kuwa imebaki chaji kidogo kelekea kujizima au ichajiwe kisha ukaamua kuiweka chaji huku ukiendelea na kile ulichokuwa unakifanya bila kuwaza kuwa hicho kitendo kinaweza kuleta madhara makubwa?
Yafahamu Madhara kadhaa yanayoweza jitokeza ukifanya hivyo;
1.Kuvimba/Kupasuka betri ya simu yako.
2.Kupelekea uvujaji wa kemikali kemikali hatari za betri.
3.Kupelekea simu yako kutokuwaka.
4.Inaweza kupelekea Hadi madhara makubwa zaidi kama kifo.