
Klabu ya Simba ya Nchini Tanzania yafanya mazoezi ya mwisho kuelekea mchezo wa leo saa 2:00 usiku dhidi ya klabu ya Al Hilal ambayo iliwaalika katika michuano hii ya mechi za kirafiki za kimataifa zinazochezwa huko nchini Sudani.



Uongozi wa Klabu ya Simba leo majira ya mchana Januari 26,2023 umemtangaza rasmi Imani Kajula kuwa mwajiliwa katika klabu hio...
Read more