Mtakwimu mkuu wa Serikali ya Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Albina Chuwa aueleza umma kupitia Maelezo Tv kwamba katika kukamilisha zoezi zima la SENSA 2022 kipengele cha SENSA YA MAKAZI takribani zaidi ya asilima 50% ya Majengo yamehesabiwa ndani ya siku 2 yaani tarehe 30 na 31 ya Agosti 2022.
Wateja wa Precision Air kukata tiketi kupitia M-Pesa Super App.
Vodacom M-Pesa na Precision Air waemingia ushirikiano ambao utawawezesha wateja kukata tiketi ya ndege kupitia applikesheni ya M-Pesa Super...
Read more