Mchezaji aliyewahi kuitumikia klabu ya Yanga hapo awali Tuisila Kisinda (TK Master) ambaye kwa msimu uliopita na hivi karibuni alikuwa anakipiga mnamo klabu ya RS Berkane ya nchini Morocco, aliweza kuwa pamoja na Mchezaji wa kalbu ya Simba Clatous Chama ambaye aliitumikia pia klabu hio kwa kipindi kifupi na kurejea katika klabu anayeitumikia hadi sasa katika Ligi kuu ya NBC Tanzania Bara. Jana imeripotiwa kuwa mchezaji huyo amerejea katika klabu yake hio aliyeitumikia hapo zamani. Taarifa hio imepatikana jana usiku kupitia mitandao ya kijamii ikiwa ilisalia muda mchache tu dirisha ra usajili kufungwa kama ilivyotangazwa na Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania, TFF.
POCHETTINO AANZA NA JOAO FELIX AREJEE ATLETICO
Meneja mpya Chelsea Mauricio Pochettino tayari amemwambia Todd Boehly kuwa hataki mchezaji mwenye umri wa miaka 23 kwenye kikosi chake...
Read more