Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan ameshiriki zoezi la uzinduzi wa SACOSS ya Kizmkazi Zanzibar. Ufunguzi huo uliambatana na Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya NBC, Bw. Theobald Sabi na viongozi wengine wa Serikali.
Nmb Yashiriki Kilele Cha Wiki Ya Sheria Dodoma
Benki ya NMB imeshiriki kilele cha wiki ya Sheria nchini iliyomalizika leo jijini Dodoma. Pichani, Meneja wa Kanda...
Read more