Kampuni ya Bakhresa Group iliwekeza $300m sawa TZS Bilioni 700 katika Kiwanda chake cha kuzalisha Sukari kilichopo Bagamoyo ambacho kinatarajia kuzalisha tani 35,000- 100,000 kwa mwaka. Sukari hiyo inatarajiwa kuingia sokoni kesho Jumatatu Sept 5,2022.
Nmb Yashiriki Kilele Cha Wiki Ya Sheria Dodoma
Benki ya NMB imeshiriki kilele cha wiki ya Sheria nchini iliyomalizika leo jijini Dodoma. Pichani, Meneja wa Kanda...
Read more