Baada ya mvutano wa muda mrefu ulioendelea mahakamani nchini Kenya juu ya upingaji wa matokeo ya aliyechaguliwa kuwa Rais mteule wa nchi hio William Ruto wa United Democratic Alliance,UDA kutoka kwa mpinzani wake Raila Odinga wa chama cha Azimio la Umoja katika uchaguzi mkuu uliofanyika Agosti 9, 2022 nchini humo, pale kesi ilipomalizika kusikilizwa kwa kufuata taratibu za Kimahakama KICA, hii leo Ruto amethibitishwa kuwa ni mshindi.
BUNGE LAMUONDOSHA RAIS MADARAKANI
Bunge la nchini Peru limetoa maamuzi ya kumuondoa madarakani Rais wa taifa hilo Pedro Castillo na nafasi yake kuzibwa na...
Read more