Mkuu wa Idara ya fedha wa Benki ya Maendeleo hapa nchini Peter Tarimo ameujuza umma kuhusu jitihada zinazofanywa na benki hio ili kuweza kutoa huduma nzuri kwa wateja wake kwa kutumia teknolojia vyema katika utoaji wa huduma hizo za kifedha. Ameongeza kwa kugusia kuwa benki ina matawi 4 yaliopo hapa jijini Dar es Salaam; Lusa House, Mwenge, Kariakoo, Mbezi Luis, mawakala zaidi ya 900 katika mikoa 11 hapa nchini na wateja zaidi ya 60,000, benki hio inaendeshwa kwa weledi na salama kwa kutumia teknolojia.
NMB yafadhili ziara ya mafunzo Machinga, Bodaboda Dar nchini Rwanda
NA MWANDISHI WETU BENKI ya NMB imefadhili ziara ya siku nne ya mafunzo kwa Viongozi wa Vyama na Mashirikisho ya...
Read more