ADVERTISEMENT
  • Home
  • HABARI
  • BIASHARA
  • Lifestyle
  • BURUDANI
  • MICHEZO
Saturday, February 4, 2023
  • Login
BONGOSWAGGZ
ADVERTISEMENT
  • Home
  • HABARI
    • All
    • Business
    • Politics
    • Science
    • World
    Benki ya NMB Yakabidhi Tiketi kwa Viongozi 12 Kwenda Rwanda na Kurudi

    NMB yafadhili ziara ya mafunzo Machinga, Bodaboda Dar nchini Rwanda

    SERIKALI YATOA SIKU 7 KUEPUSHA UCHAFUZI WA MAZINGIRA KISA KELELE NA MITETEMO

    PRECISION AIR YATHIBITISHA NDEGE YAKE KUPATWA NA HITILAFU

    Dkt. Jafo: “Huenda zaidi ya Sh. Trilioni 1 Zikapatikana kwa Mwaka Kutokana na Biashara ya Kaboni”

    Yaliojili Kwenye Kurasa za Magazeti leo Ijumaa 25.11.2022

    Yaliojili Kwenye Kurasa za Magazeti ya Leo Ijumaa Februari 3,2023

    Trending Tags

    • Trump Inauguration
    • United Stated
    • White House
    • Market Stories
    • Election Results
  • BIASHARA

    The Legend of Zelda: Breath of the Wild gameplay on the Nintendo Switch

    Shadow Tactics: Blades of the Shogun Review

    macOS Sierra review: Mac users get a modest update this year

    Hands on: Samsung Galaxy A5 2017 review

    The Last Guardian Playstation 4 Game review

    Intel Core i7-7700K ‘Kaby Lake’ review

  • Lifestyle
    • All
    • Food
    • Health
    • Travel

    Shooting More than 40 Years of New York’s Halloween Parade

    Why Millennials Need to Save Twice as Much as Boomers Did

    Doctors take inspiration from online dating to build organ transplant AI

    How couples can solve lighting disagreements for good

    Ducati launch: Lorenzo and Dovizioso’s Desmosedici

    23 Celebrity Tweets You Missed From The Golden Globes

    Trending Tags

    • Golden Globes
    • Game of Thrones
    • MotoGP 2017
    • eSports
    • Fashion Week
  • BURUDANI
    • All
    • Apps
    • Gadget
    • Mobile
    • Startup

    These Are the 5 Big Tech Stories to Watch in 2017

    Trending Tags

    • Nintendo Switch
    • CES 2017
    • Playstation 4 Pro
    • Mark Zuckerberg
  • MICHEZO
    • All
    • Gaming
    • Movie

    Heroes of the Storm Global Championship 2017 starts tomorrow, here’s what you need to know

    Harnessing the power of VR with Power Rangers and Snapdragon 835

    Dota 2 and CS:GO top Steam’s 2016 list for most played games

    President Obama Holds his Final Press Conference

No Result
View All Result

Bongoswaggz
No Result
View All Result
ADVERTISEMENT

Serikali yaridhishwa na kasi ya ujenzi wa Ofisi ya Rais, TAMISEMI

Dodoma, Tanzania

ALFRED MTEWELE by ALFRED MTEWELE
September 6, 2022
in Politics
Reading Time: 4 mins read
A A
0
Serikali yaridhishwa na kasi ya ujenzi wa Ofisi ya Rais, TAMISEMI
0
SHARES
7
VIEWS
Share on FacebookShare on Twitter
ADVERTISEMENT
Waziri Mkuu wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mh. Kassim Majaliwa ameridhishwa na ujenzi wa jengo la Ofisi ya Rais – TAMISEMI na kuwaasa watendaji wa wizara hiyo kuendelea kusimamia kasi ya ujenzi wake ambalo tayari limefikia asilimia 54.
Mhe. Majaliwa ametoa wito huo mapema leo Jijini Dodoma baada ya kupokea taarifa ya ujenzi na kukagua jengo hilo ambalo Serikali imetoa fedha kwa ajili ya muendelezo wa ujenzi wa Ofisi za Wizara zote za Serikali.
Amewapongeza mafundi na mkandarasi na kuwataka viongozi na watendaji wa Ofisi ya Rais, TAMISEMI kuendelea kushirikiana na mkandarasi na mafundi ili kufikia lengo la Serikali la kujenga Ofisi zote za wizara hiyo katika Mji wa Serikali Mtumba.
“ Niwapongeze mafundi, taarifa inaonesha asilimia ya ukamilishaji ipo juu kuliko ilivyo kadiriwa”
Mhe. Majaliwa amesema, azma ya Serikali inayoongozwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan ni kuendelea na kuuendeleza Mji wa Serikali pamoja na Makao Makuu ya Nchi, Jijini Dodoma kwa kujenga miundombinu ya barabara, miundombinu ya mifumo ya maji na kuendelea na ujenzi wa Wizara za Serikali ambapo zaidi ya bilioni 500 zimetolewa kwa ajili ya ujenzi wa Wizara za Serikali lakini pia uwekezaji uliowekwa kwa kuendelezwa Dodoma.
Awali akisoma taarifa ya maendeleo ya ujenzi Mkurugenzi wa Maendeleo ya Miundombinu Ofisi ya Rais, TAMISEMI Mhandisi Gilbert Moga amesema, kwa mujibu wa kazi zilizotakiwa kukamilika hadi kufikia Agosti 30, 2022 ni umwagaji wa zege kwenye nguzo, ngazi na kuta kutoka kitako cha chini hadi sakafu ya pili ambayo ni asilimia 19.
Mhandisi Moga amesema hadi Septemba 5, 2022 hatua iliyofikiwa ni asilimia 54 ya mpango kazi ambapo Mkandarasi yupo mbele kwa asilimia 35.
Mhe. Majaliwa amesema, ziara hiyo ni muendelezo wa kukagua ujenzi wa Makao Makuu ya Nchi ambapo alianza kwa kukagua ujenzi wa barabara ya mzunguko na kwamba ataendelea kukagua na kuona ujenzi wa majengo ya wizara mbalimbali yanayoendelea kujengwa ili kujiridhisha na maendeleo yake.
Ujenzi wa jengo la Ofisi ya Rais, TAMISEMI unaoendelea kujengwa Mji wa Serikali Mtumba Jijini Dodoma unasimamiwa na Mtaalam Mshauri kutoka kwa Wakala wa Majengo Tanzania (TBA).
May be an image of 8 people, people standing and outdoors
May be an image of 6 people and people standing
May be an image of outdoors
May be an image of 3 people, people standing and outdoors
May be an image of 9 people, people standing and outdoors
Tags: OFISI YA RAIS TAMISEMI
ADVERTISEMENT
Previous Post

SIMBA SC YASITISHA MKATABA NA ZORAN MAKI

Next Post

OR-TAMISEMI YADHIHIRISHA MCHANGO MKUBWA WA TOZO ZA MIAMALA YA SIMU

ALFRED MTEWELE

ALFRED MTEWELE

RelatedPosts

BUNGE LAMUONDOSHA RAIS MADARAKANI

BUNGE LAMUONDOSHA RAIS MADARAKANI

by ALFRED MTEWELE
December 8, 2022
0

Bunge la nchini Peru limetoa maamuzi ya kumuondoa madarakani Rais wa taifa hilo Pedro Castillo na nafasi yake kuzibwa na...

Read more
UCHAGUZI WASITISHWA ARUSHA, KISA RUSHWA

UCHAGUZI WASITISHWA ARUSHA, KISA RUSHWA

November 21, 2022
Rais Samia Afanya Ziara ya Kiserikali Nchini Msumbiji

September 21, 2022
KAMATI YA FEDHA NA MIPANGO KARAGWE YATEMBELEA BUNGE

September 20, 2022
RAIS SAMIA AFANYA TEUZI MPYA SEKTA YA AFYA

September 19, 2022
BUNGE LAPITISHA MADILIKO YA SHERIA TATU

BUNGE LAPITISHA MADILIKO YA SHERIA TATU

September 14, 2022
Load More
Next Post
OR-TAMISEMI YADHIHIRISHA MCHANGO MKUBWA  WA TOZO ZA MIAMALA YA SIMU

OR-TAMISEMI YADHIHIRISHA MCHANGO MKUBWA WA TOZO ZA MIAMALA YA SIMU

Leave a Reply Cancel reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

KRANTZ MWANTEPELE (FOUNDER & CEO)

Stay Connected test

ADVERTISEMENT
  • Trending
  • Comments
  • Latest
SPORTPESA YANG’AKA YANGA KUKIUKA MAKUBALIANO, KISA MDHAMINI MPYA CAF

February 1, 2023
Bilioni 213 za Miradi ya DMDP Zaistawisha Temeke

February 2, 2023
YANGA YATAMBULISHA JEZI MPYA KUTUMIKA SHIRIKISHIO,CAF

January 31, 2023
Yaliojili Kwenye Kurasa za Magazeti leo Ijumaa 25.11.2022

Yaliojili Kwenye Kurasa za Magazeti ya Leo Alhamisi Februari 2,2023

February 2, 2023
Benki ya NMB Yakabidhi Tiketi kwa Viongozi 12 Kwenda Rwanda na Kurudi

NMB yafadhili ziara ya mafunzo Machinga, Bodaboda Dar nchini Rwanda

February 3, 2023
Benki ya NMB Yakabidhi Tiketi kwa Viongozi 12 Kwenda Rwanda na Kurudi

Benki ya NMB Yakabidhi Tiketi kwa Viongozi 12 Kwenda Rwanda na Kurudi

February 3, 2023
SERIKALI YATOA SIKU 7 KUEPUSHA UCHAFUZI WA MAZINGIRA KISA KELELE NA MITETEMO

SERIKALI YATOA SIKU 7 KUEPUSHA UCHAFUZI WA MAZINGIRA KISA KELELE NA MITETEMO

February 3, 2023
PRECISION AIR YATHIBITISHA NDEGE YAKE KUPATWA NA HITILAFU

PRECISION AIR YATHIBITISHA NDEGE YAKE KUPATWA NA HITILAFU

February 3, 2023
ADVERTISEMENT
Facebook Twitter Google+ Youtube RSS

© 2023 JNews - Premium WordPress news & magazine theme by Jegtheme.

No Result
View All Result
  • Home
  • HABARI
  • BIASHARA
  • Lifestyle
  • BURUDANI
  • MICHEZO

© 2023 JNews - Premium WordPress news & magazine theme by Jegtheme.

Welcome Back!

Login to your account below

Forgotten Password?

Retrieve your password

Please enter your username or email address to reset your password.

Log In