Kampuni ya Mawasiliano ya Tigo Tanzania yazidi kung’ara kupitia mitandao ya kijamii kwa ujio wake mpya na kampeni ya WAKISHU yenye Slogan “Wakishua wa Tigo Tunajuana” ili kuunganisha Watumiaji wa huduma wa kampuni hio katika mfumo rahisi wa upatikanajiwa wa huduma zake kidigitali zaidi.
Tigo Tanzania
“Wakishua wa Tigo tunajuana, Furahia michongo ya kidigitali kila kona ya Tanzania.
Kaa tayari kwa michongo ya kishua kutoka kwa mshua anayeelewa mahitaji yako.
Jipatie laini ya Tigo, pakua app ya Tigo Pesa na boomplay Boomplay Music
#UtatushukuruBaadae #WakishuaNdioMchongo”