Benki ya CRDB yazindua mashine ya kisasa ya kuweka pesa (Depository ATM) yenye tekinolojia inayomuwezesha mteja kuweka pesa mwenyewe kwa kiasi cha hadi Tsh. millioni 100 kwa mara moja. Uzinduzi huo umefanyika jana ndani ya jiji la Mwanza.
Unachostahili ni urahisi



