Mamlaka ya Udhibiti wa Nishati na Maji nchini Tanzania, Ewura imetoa chati mpya ya bei za Mafuta zitakazoanza kutumika kuanzia leo Tarehe 7 Septemba 2022 ambayo inadhihirisha kushuka kwa bei mafuta, na ili kujua bei ya mafuta katika eneo lako piga *152*00#, chagua namba 4 Nishati, kisha fuata maelekezo.
NMB yafadhili ziara ya mafunzo Machinga, Bodaboda Dar nchini Rwanda
NA MWANDISHI WETU BENKI ya NMB imefadhili ziara ya siku nne ya mafunzo kwa Viongozi wa Vyama na Mashirikisho ya...
Read more