Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mh. Samia Suluhu Hassan pamoja na Viongozi wengine wa serikali akiwemo Rais mtaafu wa Tanzania wa awamu ya 4, Mh. Dkt Jakaya Mrisho Kikwete na Spika wa Bunge la Tanzania Mh. Tulia Ackson, wajumuika kuadhimisha miaka 10 ya Chuo cha Mafunzo ya Ulinzi leo hii Septemba 8, 2022 jijini Dar es Salaam.