Klabu ya Simba imemtambulisha Juma Mgunda ambaye awali aliwahi kuwa kocha msaidizi katika kikosi cha timu ya Taifa Tanzania kuwa ndiye kocha mkuu akichukua nafasi ya Kocha mkuu aliyeondoka siku chache hapo nyuma Zoran Maki baada ya kusitisha mkataba naye. Juma Mgunda ameitumikia klabu ya Coastal Union katika nafaasi ya ukocha pia, ambayo makao yake yanapatikana mkoani Tanga kabla ya kutambulisha rasmi katika klabu hii.
Simba SC Yamtangaza CEO Mpya
Uongozi wa Klabu ya Simba leo majira ya mchana Januari 26,2023 umemtangaza rasmi Imani Kajula kuwa mwajiliwa katika klabu hio...
Read more