Klabu ya Simba yawasili nchini Malawi ili kuweza anza kushiriki michuano ya soka la Klabu Bingwa Barani Afrika dhidi ya Big Bullets ya nchini humo, ikiwa hapo jana tu walishiriki katika mchezo uliopo katika ratiba ya Ligi kuu ya NBC Tanzania Bara Dhidi ya KMC FC ya Manispaa ya Kinondoni na kutoka kwa sare ya 2-2 ndani ya dakika 90.