Kupitia kurasa za mitandao ya kijamii,Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mh. Samia Suluhu Hassan ametuma salamu za pole kwa familia ya Kifalme nchini Uingereza juu ya taarifa zilizotolewa kuhusu Malkia Elizabeth wa II kuaga dunia.
VIJANA WAPWEKE KULIPWA DOLA 500
Wizara ya Usawa wa Jinsia na Familia ya nchini Korea Kusini imetangaza kwamba itatoa Won 650,000 ($500) ambazo ni sawa...
Read more