Jana tarehe 12 Septemba, 2022, Spika wa Bunge, Mhe. Dkt. Tulia Ackson ameongoza kikao cha kamati ya uongozi kilichopokea na kujadili Shughuli za Mkutano wa Nane wa Bunge pamoja na Mapendekezo ya Ratiba ya Mkutano huo katika Ukumbi wa Spika Bungeni Jijini Dodoma.
BUNGE LAMUONDOSHA RAIS MADARAKANI
Bunge la nchini Peru limetoa maamuzi ya kumuondoa madarakani Rais wa taifa hilo Pedro Castillo na nafasi yake kuzibwa na...
Read more