Klabu ya Simba SC imepata nafasi ya kufikisha pointi 10 baada ya kuifunga Tanzania Prisons katika mchezo wa raundi ya 4 ya michuano ya kuwania ubingwa wa kombe la Ligi kuu ya NBC Tanzania Bara ilichezwa Septemba 14,2022. Licha ya mechi kuonekana kuwa na ugumu kwa kipindi cha kwanza na cha pili, klabu hio ilipata goli la ushindi kupitia mchezaji wake Jonas Mkude katika dakika ya 85′ na kufanya iongoze kwa goli 1-0 dhidi ya mpinzani wake.
NMB yafadhili ziara ya mafunzo Machinga, Bodaboda Dar nchini Rwanda
NA MWANDISHI WETU BENKI ya NMB imefadhili ziara ya siku nne ya mafunzo kwa Viongozi wa Vyama na Mashirikisho ya...
Read more