ADVERTISEMENT
  • Home
  • HABARI
  • BIASHARA
  • Lifestyle
  • BURUDANI
  • MICHEZO
Saturday, February 4, 2023
  • Login
BONGOSWAGGZ
ADVERTISEMENT
  • Home
  • HABARI
    • All
    • Business
    • Politics
    • Science
    • World
    Benki ya NMB Yakabidhi Tiketi kwa Viongozi 12 Kwenda Rwanda na Kurudi

    NMB yafadhili ziara ya mafunzo Machinga, Bodaboda Dar nchini Rwanda

    SERIKALI YATOA SIKU 7 KUEPUSHA UCHAFUZI WA MAZINGIRA KISA KELELE NA MITETEMO

    PRECISION AIR YATHIBITISHA NDEGE YAKE KUPATWA NA HITILAFU

    Dkt. Jafo: “Huenda zaidi ya Sh. Trilioni 1 Zikapatikana kwa Mwaka Kutokana na Biashara ya Kaboni”

    Yaliojili Kwenye Kurasa za Magazeti leo Ijumaa 25.11.2022

    Yaliojili Kwenye Kurasa za Magazeti ya Leo Ijumaa Februari 3,2023

    Trending Tags

    • Trump Inauguration
    • United Stated
    • White House
    • Market Stories
    • Election Results
  • BIASHARA

    The Legend of Zelda: Breath of the Wild gameplay on the Nintendo Switch

    Shadow Tactics: Blades of the Shogun Review

    macOS Sierra review: Mac users get a modest update this year

    Hands on: Samsung Galaxy A5 2017 review

    The Last Guardian Playstation 4 Game review

    Intel Core i7-7700K ‘Kaby Lake’ review

  • Lifestyle
    • All
    • Food
    • Health
    • Travel

    Shooting More than 40 Years of New York’s Halloween Parade

    Why Millennials Need to Save Twice as Much as Boomers Did

    Doctors take inspiration from online dating to build organ transplant AI

    How couples can solve lighting disagreements for good

    Ducati launch: Lorenzo and Dovizioso’s Desmosedici

    23 Celebrity Tweets You Missed From The Golden Globes

    Trending Tags

    • Golden Globes
    • Game of Thrones
    • MotoGP 2017
    • eSports
    • Fashion Week
  • BURUDANI
    • All
    • Apps
    • Gadget
    • Mobile
    • Startup

    These Are the 5 Big Tech Stories to Watch in 2017

    Trending Tags

    • Nintendo Switch
    • CES 2017
    • Playstation 4 Pro
    • Mark Zuckerberg
  • MICHEZO
    • All
    • Gaming
    • Movie

    Heroes of the Storm Global Championship 2017 starts tomorrow, here’s what you need to know

    Harnessing the power of VR with Power Rangers and Snapdragon 835

    Dota 2 and CS:GO top Steam’s 2016 list for most played games

    President Obama Holds his Final Press Conference

No Result
View All Result

Bongoswaggz
No Result
View All Result
ADVERTISEMENT

NMB yazindua Tawi la 11 mkoani Tanga

admin by admin
September 15, 2022
in Uncategorized
Reading Time: 3 mins read
A A
0
NMB yazindua Tawi la 11 mkoani Tanga
0
SHARES
3
VIEWS
Share on FacebookShare on Twitter
ADVERTISEMENT

NA MWANDISHI WETU, TANGA*

WANANCHI wa Mkoa wa Tanga, hasa wanaojihusisha na kilimo, uvuvi, biashara na wajasiriamali, wametakiwa kutumia vema fursa zitokanzo na uzinduzi wa Tawi jipya la Benki ya NMB, Ngamiani, ulioenda sambamba na makabidhiano ya mabati 250 yenye thamani ya Sh. Milioni 10 kwa Shule ya Msingi Masiwani, iliyopo Ngamiani, Tanga.

Wito huo umetolewa na Mkuu wa Mkoa wa Tanga, Omary Mgumba, akizindua Tawi la NMB Ngamiani, ambalo ni la 11 mkoani humo, likiwa pia ni tawi la 40 katika Kanda ya Kaskazini (Tanga, Manyara, Arusha na Kilimanjaro), uliohudhuriwa na Meneja Uchumi na Takwimu wa Benki Kuu ya Tanzania (BoT), Arusha, Ernest Ndunguru.

Akizungumza katika hafla hiyo, iliyohudhuriwa na wageni mbalimbali, wakiwemo viongozi wa Serikali na vyama vya siasa, Mgumba alisema ufunguzi wa tawi hilo la 11 mkoani mwake – kati ya matawi 40 kwenye mikoa minne ya Kanda ya Kaskazini, ni uthibitisho kwamba Tanga inakua kwa kasi kiuchumi na kibiashara.

“Serikali inatambua mchango wa sekta za fedha hasa NMB katika kutoa huduma za kibenki, tunaipongeza NMB kwa jitihada za kusogeza huduma za kibenki kwa jamii, kwani huduma hizo na sekta ya fedha kwa ujumla, ni kichocheo cha maendeleo ya mtu mmoja mmoja na taifa kwa jumla.

“Serikali imeweka mazingira mazuri sana ya kuhakikisha jamii inafikiwa na inazitumia huduma za kibenki, nashukuru NMB imekuwa ikiunga mkono juhudi za Serikali katika hili, na hivi karibuni ilitenga Sh. Bil. 200 kwa ajili ya mikopo nafuu yenye riba asilimia 9 kwenye sekta ya kilimo,” alisema Mgumba katika hafla hiyo.

Afisa Mkuu wa Wateja Binafsi na Serikali wa NMB, Alfred Shao, alisema baada ya Sh. Bilioni 100 za kwanza ilizotenga kukopesha wadau wa kilimo kwa riba nafuu ya asilimia 10 kwisha, benki yake imeongeza kiasi hicho kwa kutenga Bil. 100 nyingine kunufaisha kada hiyo muhimu kwa ukuaji wa uchumi wa Taifa kwa asilimia 9.

Alibainisha kwamba, NMB Ngamiani linakuwa Tawi la 228 Tanzania kote, ikiwa ni miaka 25 tu tangu ilipoanzishwa (1997), ikiwa na matawi 97 tu na kwamba licha ya uwingi wa matawi hayo, mashine za kutolea fedha (ATM) 762 na Mawakala zaidi ya 15,000, lakini benki yake imejikita na kufanya mapinduzi makubwa kidijitali.

Shao alifafanua kwamba, wakulima wa mkonge na muhogo, wadau wa sekta hiyo, pamoja na wafanyabiashara, wafanyakazi na wajasiriamali mkoani Tanga, wanapaswa kuchangamkia fursa hizo ili kukua kiuchumi na kuimarisha ukuaji wa benki, hivyo kutanua faida na gawio la Serikali, na asilimia 1 ya Uwajibikaji kwa Jamii (CSR).

Naye Meneja Uchumi na Takwimu wa BoT, Ernest Ndunguru, aliipongeza NMB kwa kutambua na kuthamini uwepo wa BoT na kwamba mwaliko waliopewa ni uthibitisho kwamba wanathamini uwajibikaji wao, hasa ikizingatiwa kwamba wao ndio wasimamizi wakuu wa sekta ya fedha nchini.

“Uzinduzi wa NMB Tawi la Ngamiani, ni ishara kwamba NMB iko bega kwa bega na BoT katika kutekeleza sera za fedha na kuhakikisha mzunguko wa fedha na huduma za kibenki unawafikia wananchi popote kwa urahisi zaidi, uzinduzi huu pia ni ishara kwamba NMB inakubalika kwa wananchi kutokana na shughuli zake,” alisema.

Mwisho

ADVERTISEMENT
Previous Post

Benki ya NMB Yawakutanisha Wafanyabiashara Mkoani Tabora

Next Post

TFF YARIDHIA UREJEO RASMI WA KISINDA, YANGA

admin

admin

RelatedPosts

NMB yazindua Umebima 2023 kutoa elimu zaidi ya bima
Uncategorized

NMB yazindua Umebima 2023 kutoa elimu zaidi ya bima

by iamkrantz
January 31, 2023
0

Kutoka Kushoto: Mkuu wa Idara ya Bima - Benki ya NMB, Martine Massawe; Kamishna wa Bima nchini, Dkt. Baghayo Saqware;...

Read more
Pesapal Yaja na suluhisho la kisasa kusimamia uendeshaji wa vituo vya mafuta

January 25, 2023
Waziri Dkt. Gwajima katika ofisi zao za Makao Makuu jijini Dar es Salaam.

MSHINDI WA NMB MASTABATA KOTEKOTE AKABIDHIWA ZAWADI YA PIKIPIKI MKOANI TABORA

January 23, 2023
NMB YATOA MSAADA WA VIFAA TIBA KATIKA VITUO VYA AFYA MKONOO, LEVOLOSI MKOANI ARUSHA

Benki ya NMB yaingia makubaliano na Serikali ya Zanzibar uhifadhi bustani ya Forodhani

Load More
Next Post
TFF YARIDHIA UREJEO RASMI WA KISINDA, YANGA

TFF YARIDHIA UREJEO RASMI WA KISINDA, YANGA

Leave a Reply Cancel reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

KRANTZ MWANTEPELE (FOUNDER & CEO)

Stay Connected test

ADVERTISEMENT
  • Trending
  • Comments
  • Latest
SPORTPESA YANG’AKA YANGA KUKIUKA MAKUBALIANO, KISA MDHAMINI MPYA CAF

February 1, 2023
Bilioni 213 za Miradi ya DMDP Zaistawisha Temeke

February 2, 2023
YANGA YATAMBULISHA JEZI MPYA KUTUMIKA SHIRIKISHIO,CAF

YANGA YATAMBULISHA JEZI MPYA KUTUMIKA SHIRIKISHIO,CAF

January 31, 2023
Yaliojili Kwenye Kurasa za Magazeti leo Ijumaa 25.11.2022

Yaliojili Kwenye Kurasa za Magazeti ya Leo Alhamisi Februari 2,2023

February 2, 2023
Benki ya NMB Yakabidhi Tiketi kwa Viongozi 12 Kwenda Rwanda na Kurudi

NMB yafadhili ziara ya mafunzo Machinga, Bodaboda Dar nchini Rwanda

February 3, 2023
Benki ya NMB Yakabidhi Tiketi kwa Viongozi 12 Kwenda Rwanda na Kurudi

Benki ya NMB Yakabidhi Tiketi kwa Viongozi 12 Kwenda Rwanda na Kurudi

February 3, 2023
SERIKALI YATOA SIKU 7 KUEPUSHA UCHAFUZI WA MAZINGIRA KISA KELELE NA MITETEMO

SERIKALI YATOA SIKU 7 KUEPUSHA UCHAFUZI WA MAZINGIRA KISA KELELE NA MITETEMO

February 3, 2023
PRECISION AIR YATHIBITISHA NDEGE YAKE KUPATWA NA HITILAFU

PRECISION AIR YATHIBITISHA NDEGE YAKE KUPATWA NA HITILAFU

February 3, 2023
ADVERTISEMENT
Facebook Twitter Google+ Youtube RSS

© 2023 JNews - Premium WordPress news & magazine theme by Jegtheme.

No Result
View All Result
  • Home
  • HABARI
  • BIASHARA
  • Lifestyle
  • BURUDANI
  • MICHEZO

© 2023 JNews - Premium WordPress news & magazine theme by Jegtheme.

Welcome Back!

Login to your account below

Forgotten Password?

Retrieve your password

Please enter your username or email address to reset your password.

Log In