Shirikisho la mpira wa miguu nchini Tanzania, TFF limeujuza umma juu ya kumpa nafasi mcezaji Twisila Kisinda kujiunga na klabu ya Yanga, ikiwa hapo awali ilizuia usajili wa mchezaji huyo wa kigeni kulingana na matakwa ya kanuni za usjili wa wachezaji wa kigeni 12.
NMB yafadhili ziara ya mafunzo Machinga, Bodaboda Dar nchini Rwanda
NA MWANDISHI WETU BENKI ya NMB imefadhili ziara ya siku nne ya mafunzo kwa Viongozi wa Vyama na Mashirikisho ya...
Read more