• Home
  • HABARI
  • BIASHARA
  • Lifestyle
  • BURUDANI
  • MICHEZO
Monday, September 25, 2023
  • Login
BONGOSWAGGZ
Advertisement
ADVERTISEMENT
  • Home
  • HABARI
    • All
    • Business
    • Politics
    • Science
    • World
    Wateja wa Precision Air kukata tiketi kupitia M-Pesa Super App.

    NMB yabainisha mikakati ya kuwakwamua wakulima wadogo

    Rais Samia aweka Jiwe la Msingi la Skuli ya Mil. 600/- inayojengwa na NMB

    NMB yadhamini CDF Trophy 2023 kwa Mil. 30/-

    Rais Samia aipa cheti NMB cha mlipa gawio mkubwa

    USAID and Jane Goodall Institute Tanzania Join Forces with $29.5 Million Agreement to Empower Gombe Communities

    Trending Tags

    • Trump Inauguration
    • United Stated
    • White House
    • Market Stories
    • Election Results
  • BIASHARA

    The Legend of Zelda: Breath of the Wild gameplay on the Nintendo Switch

    Shadow Tactics: Blades of the Shogun Review

    macOS Sierra review: Mac users get a modest update this year

    Hands on: Samsung Galaxy A5 2017 review

    The Last Guardian Playstation 4 Game review

    Intel Core i7-7700K ‘Kaby Lake’ review

  • Lifestyle
    • All
    • Food
    • Health
    • Travel

    Shooting More than 40 Years of New York’s Halloween Parade

    Why Millennials Need to Save Twice as Much as Boomers Did

    Doctors take inspiration from online dating to build organ transplant AI

    How couples can solve lighting disagreements for good

    Ducati launch: Lorenzo and Dovizioso’s Desmosedici

    23 Celebrity Tweets You Missed From The Golden Globes

    Trending Tags

    • Golden Globes
    • Game of Thrones
    • MotoGP 2017
    • eSports
    • Fashion Week
  • BURUDANI
    • All
    • Apps
    • Gadget
    • Mobile
    • Startup

    These Are the 5 Big Tech Stories to Watch in 2017

    Trending Tags

    • Nintendo Switch
    • CES 2017
    • Playstation 4 Pro
    • Mark Zuckerberg
  • MICHEZO
    • All
    • Gaming
    • Movie

    Heroes of the Storm Global Championship 2017 starts tomorrow, here’s what you need to know

    Harnessing the power of VR with Power Rangers and Snapdragon 835

    Dota 2 and CS:GO top Steam’s 2016 list for most played games

    President Obama Holds his Final Press Conference

No Result
View All Result

Bongoswaggz
No Result
View All Result

NMB, Bunge SC hapatoshi Kivumbi na Jasho kesho Dodoma

admin by admin
September 18, 2022
in NEWS, Uncategorized
Reading Time: 2 mins read
A A
0
NMB, Bunge SC hapatoshi Kivumbi na Jasho kesho Dodoma
0
SHARES
3
VIEWS
Share on FacebookShare on Twitter

MSIMU wa pili wa Tamasha la ‘NMB Kivumbi na Jasho,’ linalokutanisha timu za michezo mbalimbali za Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Benki ya NMB, utaunguruma kesho jijini Dodoma, hii ni baada ya leo benki hiyo kuikabidhi Bunge SC vifaa vya michezo vyenye thamani ya Sh. Milioni 20.

Kivumbi na Jasho ni bonanza linalolenga kujenga na kuimarisha mahusiano mema baina ya Bunge na NMB, ambapo Bunge SC imeahidi kulitumia vema kama ilivyofanya msimu uliopita, ili kuzipa makali timu zao zinazojiandaa na Mashimdano ya Mabunge kwa nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki (EALA 2022).

Akizungumza wakati akipokea msaada wa vifaa hivyo, Mwenyekiti wa Bunge SC, Tarimba Abbas, alisema wanalichukulia kwa uzito mkubwa tukio la leo, na kuwa kwao Kivumbi na Jasho ni zaidi ya bonanza, na wanalipa hadhi ya mashimdano, kwani limekuwa msaada katika maandalizi yao ya EALA 2022.

“Tunatambua na kuthamini malengo ya bonanza hili, lakini tuwe wazi kwamba kwetu ni zaidi ya hapo. Mwaka Jana lilitupa kipimo sahihi kuelekea EALA 2021, ambako tuliibuka washindi wa jumla katika michezo nane tuliyoshiriki. Tunatarajia kurejea mafanikio hayo mwaka huu kupitia bonanza hili,” alisema.

Tarimba ambaye pia ni Mbunge wa Kinondoni, Dar es Salaam, alieleza kuwa wabunge, wafanyakazi NMB na waalikwa watakaohudhuria hafla ya usiku baada ya bonanza watapata fursa ya kuangalia ‘live’ kupitia televisheni kubwa mechi ya Kombe la Shirikisho Afrika (CAF CC 2022/23), kati ya Yanga na Zalan FC ya Sudan Kusini.

Kwa upande wake, Afisa Mtendaji Mkuu (CEO) wa Benki ya NMB, Ruth Zaipuna, awali aliushukuru uongozi wa Bunge SC na manahodha wa timu za michezo yote, kwa kuipa nafasi NMB ya kuendelea na msimu wa pili wa bonanza hilo, ambalo hubeba fursa mbalimbali sio tu kwa Bunge, bali taasisi zingine za Serikali.

“Bonanza litaanza saa 12 asubuhi kwa matembezi yatakayoanzia Viwanja vya Bunge hadi Chinangali Park itakochezwa michezo mbalimbali, kuthibitisha faida za bonanza hili, tukifika pale tutakabidhi vifaa kwa ajili ya Hospitali ya Uhuru, vyenye thamani ya Sh. Mil. 50 na baada ya hapo, ndipo Kivumbi na Jasho kitakapoanza.

“Program hii ya Kivumbi na Jasho tuliianzisha mwaka jana, na tuwahakikishie wabunge kwamba bonanza hili litakuwa endelevu, na hii yote ni katika kuhakikisha kwamba tunaendeleza mashirikiano mazuri yaliyopo baina yetu na Wabunge, Ofisi ya Bunge na Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,” alisema.

Zaipuna alibainisha kwamba michezo ni afya, ni biashara, ni ajira. Lakini pia ni kazi na kwamba ushiriki wa wabunge – ambao ni wawakilishi wa wananchi, unatoa na kuakisi taswira ya umuhimu wa michezo kwa taifa na vijana kwa ujumla, huku akiwakaribisha wakazi wa Dodoma kuhudhuria bonanza hilo.

Vifaa vilivyokabidhiwa kwa timu za Bunge ni pamoja na ‘track suit’ maalum na jezi za soka, netiboli, wavu, kikapu. Baadhi ya michezo itakayoshindaniwa, ni mpira wa miguu, mikono, kikapu, wavu, kuvuta kamba, kukimbiza kuku, mbio za magunia, mbio fupi na mingineyo, ambapo washindi watakabidhiwa vikombe na medali

Mwisho

Tags: NMB
ADVERTISEMENT
Previous Post

NMB yakutana na Wamiliki wa Maroli wadogo na wa kati (TAMSTOA)

Next Post

Kurasa za Magazetini Hii Leo 19.09.2022

admin

admin

RelatedPosts

Baada ya kufukuzwa kazi mume naye kanikimbia ila….!
Uncategorized

Baada ya kufukuzwa kazi mume naye kanikimbia ila….!

by iamkrantz
September 25, 2023
0

Tuliishi pamoja na mume wangu Kibet katika kaunti ya Lamu ambapo nilifanya kazi ya udaktari katika hospitali moja ya kibinafsi...

Read more
Asimulia namna alivyomtuliza mke wake aliyekuwa anatoka nje ya Ndoa

September 21, 2023
NMB yashinda tena tuzo ya kuongoza kuwafadhili wajasiriamali – Afrika

September 19, 2023
Dirisha la Ufadhili wa Masomo NMB Nuru Yangu 2023/24 lafunguliwa

September 15, 2023
KISA ;Mke aliyenikimbia kisa sina fedha arejea mwenyewe na kuomba msamaha!

NMB yawa benki ya tatu kwa faida Afrika Mashariki

September 11, 2023
Load More
Next Post
Kurasa za Magazetini Hii Leo 19.09.2022

Kurasa za Magazetini Hii Leo 19.09.2022

Leave a Reply Cancel reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

KRANTZ MWANTEPELE (FOUNDER & CEO)

Stay Connected test

  • Trending
  • Comments
  • Latest
Benki Ya NMB Yaendelea Kuwa Kinara Wa Ufanisi Nchini Tanzania

July 29, 2022
Baada ya kufukuzwa kazi mume naye kanikimbia ila….!

Baada ya kufukuzwa kazi mume naye kanikimbia ila….!

September 25, 2023
WAZIRI MCHENGERWA AZINDUA BOTI YA KITALII YA TAWA SEA CRUSIER

March 16, 2023
NMB yashinda tena tuzo ya kuongoza kuwafadhili wajasiriamali – Afrika

NMB yashinda tena tuzo ya kuongoza kuwafadhili wajasiriamali – Afrika

September 19, 2023
Baada ya kufukuzwa kazi mume naye kanikimbia ila….!

Baada ya kufukuzwa kazi mume naye kanikimbia ila….!

September 25, 2023
Asimulia namna alivyomtuliza mke wake aliyekuwa anatoka nje ya Ndoa

Asimulia namna alivyomtuliza mke wake aliyekuwa anatoka nje ya Ndoa

September 21, 2023
NMB yashinda tena tuzo ya kuongoza kuwafadhili wajasiriamali – Afrika

NMB yashinda tena tuzo ya kuongoza kuwafadhili wajasiriamali – Afrika

September 19, 2023
Dirisha la Ufadhili wa Masomo NMB Nuru Yangu 2023/24 lafunguliwa

Dirisha la Ufadhili wa Masomo NMB Nuru Yangu 2023/24 lafunguliwa

September 15, 2023
Facebook Twitter Youtube RSS

© 2023 JNews - Premium WordPress news & magazine theme by Jegtheme.

No Result
View All Result
  • Home
  • HABARI
  • BIASHARA
  • Lifestyle
  • BURUDANI
  • MICHEZO

© 2023 JNews - Premium WordPress news & magazine theme by Jegtheme.

Welcome Back!

Login to your account below

Forgotten Password?

Retrieve your password

Please enter your username or email address to reset your password.

Log In