
Benki ya NBC yakutana na wateja wake wakubwa (Corporates) wa jijini Arusha ili kujadili fursa za biashara, kutambulisha huduma mpya za Benki ya NBC sambamba na kuwajengea uelewa zaidi wateja wetu kuhusu faida na manufaa ya huduma hizo.
Pia tulitumia fursa hiyo kujadili na wateja namna tunavyoweza kuboresha huduma zetu kulingana na mahitaji yao.