Benki ya NMB yasogeza mbele siku ya kufanyika NMB Marathon 2022 kutoka tarehe 24, Septemba 2022 na kwenda kufanyika rasmi tarehe 1,Octoba 2022 katika viwanja vya Leaders Club ili kuchangia Matibabu ya Fistula kwa Wanawake kupitia CCBRT.
Benki ya NBC Yahitimisha Kampeni ya ‘Vuna Zaidi na NBC Shambani’
Benki ya NBC Yahitimisha Kampeni ya ‘Vuna Zaidi na NBC Shambani’, Yakabidhi Zawadi ya Trekta Kwa Wakulima wa Korosho Mtwara....
Read more