Haya ndio matokeo ya mechi iliopangwa katika ratiba ya jana ya Ligi kuu ya NBC Tanzania Bara kati ya KMC FC na IHEFU FC ndani ya Uwanja wa Uhuru, Zimetoka kwa kufungana KMC FC 2-1 IHEFU FC. Magoli mawili ya KMC yamefungwa na Matheo Antony 3′ na Nzigamasho Styve77′, kwa upande wa IHEFU goli lao limefungwa na Raphael Daud 65′.
MAN ‘U’ YAWANIA SAINI YA VICTOR OSIMHEN
Manchester United inaweza kutoa ofa ya pauni milioni 105 kwa mshambuliaji wa Napoli Victor Osimhen lakini uhamisho wa mshambuliaji huyo...
Read more