Msanii wa mziki wa kizazi kipya nchini Tanzania, Harmonize (Rajab Kahali/Konde boy) ameachia rasmi video ya Wimbo wake ufahamikao kama “Utaubeba” ambao hivi sasa unashikiria nafasi namba 1 katika Video zinazotrend katika mtandao wa Youtube. Msanii huyo amemtumia meneja wake ambaye ni msanii maarufu katika tasinia ya uigizaji Kajala Masanja kama video vixen wake.
DIAMOND AAMUA KUISHABIKIA YANGA SC
Msanii wa muziki wa Bongo Fleva nchini Tanzania Nasibu Abdul (Diamond Platnumz) amekiri kuhamishia mapenzi yake ya ushabiki wa Mchezo...
Read more