Rais Samia Suluhu Hassan alipata nafasi ya kujumuika na kuzungumza na watanzania waishio nchini msumbiji kupitia ziara yake ya kiserikali aliyoifanya nchini humo akitokea nchini Uingereza.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa katika picha ya pamoja na Watanzania wanaoishi nchini Msumbiji mara baada ya kuzungumza nao katika Jiji la Maputo tarehe 22 Septemba 2022