Klabu ya Simba yampongeza Afisa Mtendaji mkuu wake, Barbara Gonzalez baada ya kuteuliwa kuwa miongoni wa jopo la wajumbe katika kamamati ya Shirikisho la Mpira wa Miguu na Sajiri za Klabu Bingwa Afrika, CAF. Kwa klabu hio ni jambo la heri na lakujivunia kuona moja ya kiongozi kutoka klabu yao anapata kuaminika na kupewa nafasi ya kujumuika katika ngazi kubwa katika soka juu ya suala zima la kiutendaji kwasababu chini ya Uongozi wake Simba SC imepata nafasi ya kufuzu kwa mfululizo kushiriki klabu Bingwa Afrika
Mtu huyu atakusaidia kupata utajiri kupitia ubashiri soka
Jina langu ni Hussein kutoka Tanga, Tanzania, baada ya kubashiri kwa miaka mingi katika soka na kila wakati kupata ushindi...
Read more