Msanii wa muziki ambaye hapo awali alikuwa akihudumu katika Tasnia hio kama Video Vixen, Amber Lulu amsifu waziwazi msanii mwenzake Zuchu aliye chini ya Lebo ya WCB Wasafi nayomilikiwa na Diamond Platnumz (Naseeb Abdul) kwa kuandika kupitia IG yake leo Septemba 26,2022 kwa kugusia kuwa amegunua kitu kuwa “Zuchu ana uzuri wa asili”.
HARMONIZE AHAIDI KUFUTILIA MBALI WIMBO WAKE “WEED LANGUAGE”
Kupitia Insta Story yake Msanii Harmonize (Rajab Kahali) chini ya Menejimenti ya Konde Music Worldwide ameiomba radhi Serikali kwa kosa...
Read more