Kiongozi aliyekuwa anakaimu nafasi ya Msemaji mkuu ndani ya Klabu ya Yanga, Haji Manara @hajismanara (BUGATI) leo kupitia ukurasa wake wa Mtandao wa Twitter amefunguka yake kuwa “Ifike pahala jina langu lipewe heshima linalostahili, heshima niliyoileta nchini kwenye nafasi ya usemaji wa vilabu inapaswa kutambulika angali nikiwa hai.. nafurahi kuona vijana wadogo kama kina Ali kamwe na Ahmed ally wakila mema ya jasho langu. Over and out”
Mtu huyu atakusaidia kupata utajiri kupitia ubashiri soka
Jina langu ni Hussein kutoka Tanga, Tanzania, baada ya kubashiri kwa miaka mingi katika soka na kila wakati kupata ushindi...
Read more