Benki ya KCB yatambulishwa kuwa Mdhamini wa Pambano lililoaandaliwa na Mo Boxing hivyo ikiwa miongoni mwa wadhamini imeshiriki kwa karibu mkutano wa utambulisho rasmi katika kulipa nguvu pambano hilo litakalofanyika Septemba 30,2022 katika eneo la Mlimani City Mall.
“Mambo yanazidi kunoga!
Tunafuraha kubwa kushiriki mkutano wa kwanza na waandishi wa habari uliotutambulisha rasmi kama wadhamini na wadau wa mapambano ya masumbwi ya Mo boxing.
Tunasubiri kwa hamu kubwa mapambano hayo yatakayo fanyika Mlimani City Ijumaa hii”.